Tangazo

June 2, 2012

NAPE AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFANI SINGIDA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Nape Nnauye akizungumza na viongozi wa CCM mkoa wa Singida baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi ya siku moja jana Juni Mosi, 2012.

Katibu tawala wa mkoa wa Singida, Liana Hassan (wapili kulia) akionyesha ramani ya jengo la utawala la hospitali ya rufani ya Singida ambayo ujenzi unaendelea. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Singida, Jerome Alute.

Nape na ujumbe wake wakikagua jengo la Wazazi la hospitali ya Rufani Singida.

Nape akikagua ndani ya majengo ya hospitani ya rufani Singida.

Ofisa Tawala wa mkoa wa Singida, Liana Hassan (kushoto) akimpa maelezo Nape kuhusu ujenzi wa hospitali hiyo ulipofika. Kulia ni Alute.

Nape akikagua jengo la hospitali ya Rufani.

No comments: