Tangazo

June 11, 2012

Rais Kikwete awaapisha mabalozi Kumi Ikulu jijini Dar es Salaam leo

Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akila kiapo.

Balozi Naimi Sweetie Hamza Aziz akila kiapo.

Balozi Silima Kombo Haji akila kiapo.

Balozi Vincent Joel Thomas Kibwana akila kiapo.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha mabalozi wapya kumi ambao wataongoza idara na kurugenzi mbalimbali katika Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Pichani Rais akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wapya aliowaapisha ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Kutoka kushoto waliosimama mstari wa mbele ni Balozi Bertha Semu Somi, Balozi Hassan Simba Yahya, Balozi Vincent Joel Thomas Kibwana, Balozi Naimi Sweetie Hamza Aziz, Balozi Irene Mkwawa Kasyanju na Balozi Dora Mmari Msechu. Waliosimama nyuma (kutoka kushoto) ni Balozi Silima Kombo Haji, Balozi Celestine Joseph Mushy, Balozi Mbelwa Brighton Kairuki na Balozi Ramadhan Muombwa Haji. (picha na Freddy Maro)

No comments: