Tangazo

June 4, 2012

YAHAYA ALLY NDOMONDO ACHUKUA FOMU YA KUWANIA UKATIBU WA SIASA NA UWENEZI TEMEKE

Katibu Msaidizi wa CCM  Wilaya ya Temeke, Bi. Anastazia Mwonga (kulia) akikabidhi fomu ya kugombea Ukatibu wa Siasa na Uenezi wa Wilaya ya Temeke kwa Yahaya Ndomondo Dar es salaam jana kwa ajili ya kinyanganyiro cha uchaguzi  Mkuu wa chama hicho.

No comments: