"Kula Dabo" na Airtel Money ndani ya Maonyesho ya Saba Saba
Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mbando, akizungumza katika uzinduzi wa promotion kabambe kwa wateja wao ijulikanayo kama “Kula Dabo” kupitia huduma ya Airtel Money. Uzinduzi wa promotion hiyo ameufanya leo katika viwanja vya Maonyesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam(DITF) maarufu Saba Saba yanayopendelea katika barabara ya Kilwa jijini. Picha kwa hisani ya Father Kidevu
Meneja Uhusinao wa Airtel, Jackson Mbando,(aliye chuchuma mbele) akipiga picha ya pamoja na baadhi ya vijana wanaotoa huduma mbalimbali katika banda la Airtel, baada ya uzinduzi wa promotion kabambe kwa wateja wao ijulikanayo kama “Kula Dabo” kupitia huduma ya Airtel Money. Uzinduzi wa promotion hiyo ameufanya leo katika viwanja vya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam(DITF) maarufu Saba Saba yanayopendelea katika barabara ya Kilwa jijini.
Lango kuu la kuingilia katika Kijiji cha Airtel katika viwanja vya Maonyesho Saba Saba.
No comments:
Post a Comment