Tangazo

July 2, 2012

MAADHIMISHO YA TAMISEMI MWANZA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarest Ndikilo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Jula 1, 2012 kufunga maadhimisho ya ya siku ya serikali za mitaa kitaifa kwenye uwaja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Julai 1 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Magu, Jaqueline Liana baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza ambako alifunga sherehe za maadhimisho ya siku ya serikali za mitaa kitaifa kwenye uwanja wa CCM kirumba jijini Mwanza Julai 1, 2012. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Mhandishi Evarest Ndikilo. (Picha na Ofisi ya  Waziri Mkuu)

Waziri Mkuui, Mizengo Pinda  akitazama maboga ya Bwana Martin Kilijiwe wakati alipotembelea banda la wilaya ya Kwimba katika kilele cha sherehehe za maadhimisho ya siku ya serikali za  mitaa kitaifa, kwenye uwanja wa  CCM Kirumba jijini Mwanza Julai 1, 2912. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: