Wanasheria kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Nehemia Mandia (kushoto), Bw. Isakwisa Lameck Mwankonda (kulia) na Afisa Habari, Bi. Evelyn Mkokoi katika picha ya pamoja wakijiandaa kuingia katika Mkutano wa Kanda wa SADC, unaohusu utekelezaji wa mikataba ya kimataifa ya Bayonuwai pamoja na Baiteknolojia jijini Johannesburg nchini Africa ya Kusini. |
No comments:
Post a Comment