Tangazo

October 18, 2012

MAKTABA KWA MAENDELEO

Mwezeshaji kutoka nchini Finland, Ritva Hyttinen akitoa mada wakati wa mkutano wa siku mbili kuhusu maktaba kwa maendeleo uliofunguliwa jijini Dar es Salaam jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo nchini, Selestine Gisimba (hayupo pichani). Mkutano huo umewashirikisha  washiriki 80 kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Finland, Germany, Italy na United Kingdom. (Picha  na Mwanakombo Jumaa- Maelezo)
Mshiriki wa Mkutano huo, Sarah Makoi kutoka COSTECH akichangia mada.  

No comments: