Tangazo

November 6, 2012

KUTOKA BUNGENI LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kibakwe na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, Bungeni Mjini  Dodoma Oktoba  6, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda Magalle kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Oktoba 6,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongea na Mbunge wa Mpedae, Salim Hassan  Abdullah Turky  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma,Oktoba 6, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: