Tangazo

November 8, 2012

Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar: Malindi yararua Duma 2- 0

Mshambuliaji wa Malindi Abdallah Abbas (kulia) akituliza mpira mbele ya mlinzi wa Duma, Mohamed Omar Mussa, ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kwenye uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Novemba 08.2012. Malindi ilirarua Duma 2-0.

Mshambuliaji wa Malindi, Abdallah Abbas (kulia) akichuana vikali na mlinzi wa Duma, Mohamed Omar Mussa kwenye uwanja wa Amaan.


Mlinzi wa timu ya Duma, Mohamed Omar Mussa (kushoto) akipambana na mshambuliaji wa Malindi, Abdallah Abbas, ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar, uwanja wa Amaan.

No comments: