Tangazo

November 30, 2012

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MWENYEKITI WA KANU GIDEON MOI JIJINI NAIROBI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa chama cha KANU Mhe Gideon Moi aliyemtembelea leo Novemba 29, 2012 katika hoteli ya Nairobi Serena jijini Nairobi.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza  Mwenyekiti wa chama cha KANU Mhe Gideon Moi aliyemtembelea na kufanya naye mazungumzo leo Novemba 29, 2012 katika hoteli ya Nairobi Serena jijini Nairobi. PICHA NA IKULU

No comments: