Tangazo

November 30, 2012

SEND OFF PARTY YA DORICE ALOYCE TENDEWA

 Biharusi mtarajiwa Bi. Dorice Aloyce Tendewa akiwa katika pozi meza kuu wakati wa tafrija maalum ya kumuaga na kumtakia kila la heri katika maisha yake mapya ya ndoa ambayo anataraji kuifunga Jumamosi ya Desemba 1, 2012 katika Kanis la KKKT Usharika wa Azania Front jijini Dar es Salaam. Tafrija hiyo iliyofana sana ilifanyika katika ukumbi wa New Msasani Beach Club.
 Bi. Dorice Tendewa, Biharusi mtarajiwa (kushoto) akiwa na msimamizi wake na rafiki yake mkubwa, Betha Mwakapenda wakati wa tafrija yao maalum ya kumuaga. Production: MD Digital Company +255 755 373999/ 717 002303.
 
 Bi.Dorice Tendewa akisaidiana na Msimamizi wake, Bi. Betha Mwakapenda kukata keki.
  Bi Harusi Mtarajiwa Dorice Tendewa akitambulisha wageni mbalimbali ndugu zake kwa wageni waliofika katika tafrija yake
Picha ya pamoja ya familia nzima ya Bwana na Bibi Aloyce Tendewa. KWA PICHA ZAIDI BOFYA FATHER KIDEVU BLOG

No comments: