Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Peniel Lymo wakizungumza na Msimamizi Mwendeshaji wa Shirika La Maendeleo la Marekani (USAID), DR. Rajiv Shah (kushoto ) na Balozi wa Marekani nchini, Alphonso Lenherdt ,Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 20 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment