Mshindi wa nne wa DStv Rewards, Edward Hiza Mhina (katikati) akipotea hundi ya milioni 5/-. DStv inatoa kila wiki 5,000,000/- kwa wateja wake ambao watalipia malipo ya mwezi ya akaunti zao za DStv kabla ya kukatika. Kulia ni Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi na Meneja wa Fedha wa kampuni hiyo, Francis Senguji. |
No comments:
Post a Comment