Tangazo

June 11, 2013

Airtel Tanzania na Wahariri wa Habari za Michezo wajadiliana kuboresha michuano ya Airtel Rising Stars

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania , Beatrice Singano akizungumza na wahariri wa  habari za michezo (Hawapo pichani) wakati wa hafla iliyoandaliwa na Airtel Tanzania jijini Dar es Salaam ili kubadilishana mawazo juu ya namza nzuri ya kuboresha michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Raising Stars.  

Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Sunday Kayuni akizungumza katika hafla hiyo.

Meneja Mahusiano wa  Airtel Tanzania , Jackson Mmbando akizungumza na wahariri wa habari za Michezo   wakati wa hafla hiyo.

Sehemu ya wahariri  wa michezo wakifutalia kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika hafla hiyo.

No comments: