Tangazo

June 17, 2013

Redd's Miss Kanda ya Kati 2013 ni Happyness Watimanywa

Mshindi wa taji la Redds Miss Kanda ya Kati Happiness Watimanywa (Katikati) akiwa na nyuso ya furaha mara baada ya kamati ya majaji kumtangaza mshindi katika kinyanganyiro kilichoshirikisha walimbwendwe 12 kutoka Mikoa ya Dodoma, Singida, Tabora na Kigoma Wa Kwa Kwanza kulia Ni Mshindi wa Tatu Jackline huku Mshindi wa Pili ni  ( Wa kwanza Kushoto) Sabrina Juma Kutoka Mkoani Tabora
Jaji Mkuu wa Shindano ya Kumsaka Mlimbwende wa Kanda ya Kati Mh Hashim Lundenga Akipungia mikono watanzania waliofika kushuhudia mlimbwende wa Kanda ya kati anapatikana.
Mshiriki wa Kinyanganyiro Cha Redds Miss Kanda ya Kati Hawa Nyange akijitambulisha.
 Mmoja wa Washiriki wa Kinyanganyiro Cha Kumtafuta Mlimbwende wa Kanda ya kati akijitambulisha mbele ya hadhara.
 Muda wa Kuonyesha Vipaji ukawadia.
 Mavazi ya Ubunifu.
 Walimbwende walioingia hatua ya Tano Bora.
 Wadau wa Miss Tabora wakifuatilia shindano kwa ukaribu kabisa.
Mratibu na mwandaaji wa Redds Miss Kanda ya Kati akizungumza huku pembeni yake ni Mgeni Rasmi (katikati) Mh John Komba akiwa na baadhi ya wabunge wenzake kutoka Zanzibar.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Amin akicheza na mmoja wa mashabiki wake ambaye alikua akiigiza kama Linah jana wakati wa shindano la kumtafuta Redds Miss Kanda ya Kati.
Mmoja wa mashabiki wakimtunza Mwanamziki wa Kizazi kipya Amin wakati alipokuwa akitoa Burudani Jana katika Kinyanganyiro Cha Kumtafuta Mlimbwende wa Kanda ya Kati.
Baadhi ya wadau waliojitokeza kwenye kushuhudia Shindano la Redds Miss Kanda ya Kati lililofanyika Usiku wa Kuamkia Leo Katika Ukumbi wa Kilimani Mkoani Dodoma.Picha Na Josephat Lukaza Wa Lukaza Blog

No comments: