Tangazo

August 29, 2013

RC MULONGO ATETA NA MKURUGENZI WA MAELEZO ASSAH MWAMBENE

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh. Magessa Mulongo(kulia) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. PICHA/MWANAKOMBO JUMAA WA MAELEZO

No comments: