Tangazo

August 14, 2013

YALIYOJIRI SKYLIGHT BAND WAKATI WA IDDI MOSI @ THAI VILLAGE

IMG_1720
Aneth Kushaba AK 47 akiongoza kundi zima la Skylight Band kutoa burudani kwa mashabiki wake katika kusheherekea sikukuu ya Iddi El Fitri kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar.
IMG_1736
Mashabiki wa Skylight Band taratibu wakilisongesha kwenye dancing floor.
IMG_1707
Mary Lucos akiwapa raha mashabiki wake wa Skylight Band.
IMG_1739
Vijana waliowahi kushiriki Epiq Bongo Star Search wakiburudika na Skylight Band.
IMG_1753
Burudani ikiendelea na kupooza makoo kulihusika.
IMG_1758
Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo akichana mistari.
IMG_1790
IMG_1824
Pale Mzungu alipochizka na Carolina ya Skylight Band...Si mchezo....!
IMG_1817
Umati uliofurika kula bata sikukuu ya Iddi Mosi na Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
IMG_1710
Msanii Beka wa Skylight Band akitoa burudani wakati wa sikukuu ya Iddi kwenye kiwanja chao cha nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar.
IMG_1782
Mashabiki wa Skylight Band wakipigwa na bumbuwazi kwa kipaji alichonacho msanii Beka ambaye kwa sasa anaimba na Band hiyo.
IMG_1785
IMG_1843
Mduara ulihusika pia.
IMG_1772
Martin Kadinda a.k.a mzee wa Single Button na Model Neema Mbuya.
IMG_1761
Fans wa Skylight Band wakipozi kupata Ukodak.
IMG_1712
Diva's wa Skylight Light Band wakishow love mbele ya camera yetu.
IMG_1861
All the way from the states.....Wadau wapya wa Skylight Band.
IMG_1675
IMG_1866
Zamaradi Mketema wa Clouds Tv na Aneth Kushaba AK47 wa Skylight Band.
IMG_1856
William Malecela a.k.a Lemutuz na binti mrembo.
IMG_1826
IMG_1833
IMG_1830
IMG_1840
IMG_1691
Lillipop na shots zilikuwepo maalum kwa mashabiki wa Skylight Band.
IMG_1685

No comments: