Tangazo

October 2, 2013

Airtel yakabidhi vitabu vya milioni 10/- katika Sekondari nne za Mkoa wa Dodoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi (kushoto), akiwakabidhi msaada wa Vitabu vilivyotolewa na Kampuni ya simu ya Airtel Wanafunzi Mariamu Hamisi na Theodory Raymond wa kidato cha kwanza shule ya Sekondari Dodoma wengine katika picha nyuma ni meneja mauzoAirtel Dodoma, Saidimu Ngaleson.
Mkuu wa Shele ya Sekondari ya Kibakwe  ya Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma Augustine Senya (kulia) akipokea msaada wa vitabu kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi msaada huo wa vitabu ulitolewa na Airtel kwa Sekondari tano za Mkoa wa Dodoma,wengine nyuma wanaoshuhudia ni kutoka kushoto ni Hedrick Werner Afisa masoko Airtel Kanda ya kati na  Afisa Mauzo Airtel Mkoa Dodoma, Saidimu Ngaleson.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi (kushoto) akikabidhi msaada wa vitabu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Bihawana Dodoma Crispin Mtesigwa (kulia)  uliotolewa na Airtel kwa kwa shule hiyo jana ,wengine nyuma toka kushoto ni   meneja mauzo Airtel  Mkoa wa Dodoma, Saidimu Ngaleson na mwalimu Helbet Ngusulwa.
Afisa Elimu Taaluma Wilaya ya Chamwino Mkoani Dododma Hamisi Mapoto (kulia) akipokea msaada wa Vitabu kwa niaba ya Mkuu wa Shule ya Sekondari Itisso na Mkuu wa Mkoawa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi (kushoto) msaada huo umetolewa na kampuni ya simu ya Airtel,nyuma ni meneja mauzoAirtel Dodoma Saidimu Ngaleson.

No comments: