Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Mradi wa Maji wa Mji
Mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni moja ya shughuli za Wiki ya
Maji nchini Machi 17, 2014.. Kulia kwake ni Waziri wa Maji, Profesa
Jumanne Maghembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, izengo Pinda akikata utepe kuashiria
uzinduzi wa Mradi wa Maji wa Mji Mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa
ni Moja ya Shuguli za wiki ya Maji Machi 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua bomba la maji kuashira
uzinduzi wa Mradi wa Maji wa Mji Mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni
Moja ua Shiguli za wikiya Maji. Kulia Kwake ni Waziri wa Maji na kulia ni Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma , Rehema Nchimbi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtwika ndoo ya maji,
bibi Emaculata Mazengo wakati alipozindua mradi wa maji wa Mji mdogo wa Kibaigwa
wilayani Kongwaikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya Maji Machi 17, 2014.
(picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia baada ya
kuzindua mradi wa maji wa mji mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni moja
ya shughuli za wiki ya maji Aprili 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment