Tangazo

April 5, 2014

MAMIA WA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAJITOKEZA KATIKA USAILI WA SHINDANO LA KUONYESHA VIPAJI VYA KUIGIZA LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS

Jukwaa la Majaji likiwa tayari Kwai shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo Mkoani Mwanza Katika Kanda ya Ziwa.
 Mafundi Mitambo wakiwa Tayari kwa Kazi 
 
Kundi la Kwanza la Vijana waliojitokeza katika Usaili wa Shindano la Kusaka Vipaji Vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa kwenye foleni tayari kwa zoezi la kuonyesha vipaji kuanza.
Kundi la Kwanza la Vijana Waliojitokeza katika Shindano la Kuonyesha Vipaji vya Kuigiza Tanzania Lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa kwenye chumba cha kusubiria.Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog

No comments: