Tangazo

April 15, 2014

MAZISHI YA DORICE DANDE MSANGI

Dorice Dande Msangi enzi za uhai wake. 
Mtoto wa marehemu, Sauda Msangi (kulia), akiwana na mama yake mdogo Bea Dande.
Mama wa marehemu Theresia Dande wa pili (kushoto), akiwa na baadhi ya waombolezaji nyumbani kwa marehemu.
Mama wa marehemu (kulia), akiwa na huzuni wakati wakisubiri kuwasili kwa mwili nyumbani.
Waombolezaji.
Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wakishiriki msiba wa Marehemu Dorice.
Mwili wa marehemu Dorice ukitolewa katika Hospitali ya Dk. Kairuki.
Mwili wa marehemu ukiingizwa katika gari.
Mwili ukiwasili nyumbani kwa marehemu, Namanga jijini Dar es Salaam.
Waombolezaji wakishiriki ibada kabla ya mazishi ya marehemu Dorice.
Katekista akiongoza ibada ya mazishi.
Mama mdogo wa marehemu akipita kutoa heshima za mwisho.
Mtoto wa marehemu, Sauda Msangi akitoa heshima za mwisho.
Kaka wa marehemu, John Dande akitoa heshima za mwisho.
Mwili wa marehemu ukiwasili katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Waombolezaji wakishiriki katika mazishi.
Mwili wa marehemu ukihifadhiwa kaburi.
Mume wa Marehemu, Amir Msangi akiweka shada la maua.
Watoto wa marehemu kutoka kushoto  ni Sauda, Rajabu na Teddy wakiweka shada la maua katika kaburi la marehemu mama yao.
Wifi wa marehemu wakiweka shada la maua.
Kaka wa marehemu, Francis Dande (wa pili kulia) akiweka shada la maua pamoja na shemeji yake Imamu Msangi (kulia)
Shalon Dande akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu shangazi yake.
 Wakiwa katika hali ya huzuni Kaka wa marehemu, Francis Dande (kulia), na John Dande wakiteta jambo wakati wa mazishi.
Mtoto wa marehemu Sauda Msangi (kulia), akisindikizwa na rafiki yake kuweka shada la maua.
Joseph Zablon akiweka shada la maua pamoja na mke wake. Kulia ni Deus Vedasto.
Joseph zablon akiwa na mkewe Dalphina wakiweka shada la maua.
Waombolezaji wakiwa katika picha ya pamoja.
Kaka mkubwa wa marehemu Elius Dande (kushoto), John Dande, Deus Vedasto na Francis Dande wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mazishi.

No comments: