Tangazo

May 15, 2014

MCT YAWAPIGA MSASA WAPIGAPICHA ZA HABARI JIJINI DAR

Mkufunzi kutoka Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ndimara Tegambwage (kulia), akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku nne kwa wapigapicha za habari wa vyombo mbalimbali vya habari, kuhusu Maadili ya Uandishi na Upigaji picha za habari katika mazingira hatarishi yaliyodhaminiwa na Airtel Tanzania na MCT katika Ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam leo Mei 15.2014. Wa pili (kulia) ni Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki. PICHA /JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOG
Sehemu ya wapigapicha za habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika mafunzo hayo.

No comments: