Tangazo

May 23, 2014

SKYLIGHT BAND WAZIDI KUWAPA RAHA ZISIZO NA KIFANI MASHABIKI WAKE JIJINI DAR, USIKOSE LEO NDANI YA THAI VILLAGE

Sam Mapenzi akiliazisha Taratibuuuuu ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Vijana wa Skylight kwa Taaratibuuu wakiimba kwa hisiaa kali kuwapa burudani mashabiki wao ndani ya kiwanja cha Thai village.
Anaitwa Hashim Donode (mzee wa viduku)akiimba kwa Hisia kaliiiii kabisaaa ndani ya kiwanja cha Thai Village Ijumaaa iliyopita ili kuwapa ile kitu roho inapenda mashabiki wao.
Toka kushoto Digna Mbepera akimpa sapoti ya nguvu kijana machachariiiiii anayejulikana kwa jina la Donode wakati akirusha vocal kaliiiii kwa hisia ndani ya kiwanja cha Thai Village
Maua mazuriiiii ya Skylight Band kutoka kushoto ni Aneth Kushaba(Ak 47) na Digna Mbepera wakipata ukodak kwa pozi la nguvuuuuuuu
Wanaume wa shoka wa Skylight Band kutoka kushoto ni Daudi Tumba, Joniko Flower, Sony Masamba, Sam Mapenzi na mpiga gita mahiri Allen Kiso wakitoa burudani la nguvu ndani ya kiwanja cha Thai Village Ijumaa Iliyopita
Acha kabisaaaa usipime kwa mziki wetu huuu mzuriii,Hapo ni Aneth Kushaba mwenye nywele nyekundu akiongoza kikosi chake kutoa burudani za ukweliiiii ndani ya Thai Village.
Paaaaa paaaaaa paaaapaaaaa cheza chezaaaa hapo ni kikosi cha Skylight Band wakiangusha burudani la nguvuuuu Ndani ya Thai village.
Sony Masamba akiwapeleka puta mashabiki wake ndani ya Thai village Ijumaa iliyopita akipewa sapoti ya karibu na Sam Mapenzi.
Haya sasaaaa twendeeee twendeeeee kiuno chako mwenyeweeeee hapo ni Joniko Flower akiongoza kikosi cha Skylight Band akifutaiwa na Aneth Kushaba
Weweeeeeeee usicheze kabisa na Winfrida Richard unaona mauno hayo anayompa Kijana Donodeeee.
Hayaaaa kama kawaida ya Bendi ya Skylight inavyowapenda na kuwajali wapenzi wake hapa dada huyu alipewa nafasi ya kufungua shampeni na kusheherekea siku yake ya kuzaliwaaa.
Hahahahaha Dohhhh mvua ya kuogeshwa na shampeni ikaaanzaaaaa mwaaaamwaaaa mwaaaa mpaka raha sanaaaa hiii ndio Skylight Band bwanaaaaa.
Mamaaaaa weeeeee umeona viuno nyorotiiiiiii ivoooo?sasa hao ni mashabiki wa Skylight Band wakiyarudi mauno kwa burudani Tamuuuuu zinazotolewa ndani Ya Thai Village kila Ijumaaaaaa.
Aneth Kushaba(Ak 47) akiwaimbishaaa mashabiki wake hawapo pichaniii ndani ya Thai Village.
Allen Kisso wapelekeeeeee wapelekeeeeee babaaaaaa huyu ni mpiga Gita machachariiii wa Skylight Band akionyesha maujuziii yake.
Weeeeeee Hapanaaaa chezeaaa Joniko Flowerrrrr unaona Maunooooo hayooooooo.
Winfrida Richard akipewa Love ya kutosha toka kwa shabiki huyu aliyemkuna kwa Vocal kaliiiiii alizokuwaaa akizitoaaaaa.
Hapooooo sasa wadada wazuriiiiii wakichezaaaaa staili mpya na maarufu hapa mjini ijulikanayo kama kikuku,unaona rahaaaa hizoooo usikoseee ijumaa hiii.
Aneth Kushaba akiiimba kwa furaha kabisa baada ya kuona mashabiki wake wanafurahia kile wanachopewa na Band yao kali na ya kijanja ndani ya kiwanja cha Thai Village.
Kwa rahaaaaaa zao mashabiki hawa wakiburudikaaaaaaaa.
skylight
Nyomiiiiii la kutoshaaaaaaa ndani ya Thai Villageee usikose ijumaaaa Hiiii.

No comments: