Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel,
Bi. Beatrice Singano Mallya (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari
wakati Kampuni ya Airtel kwa kushirikiana na Apple
ilipofanya uzinduzi wa simu mpya ya iPhone 5s pamoja na ofa
kabambe kwa wateja wa Airtel, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam
jana. Ofa hiyo itawawezesha wateja wa Airtel kupata sms 5000, muda wa maongezi
dakika 1500 pamoja na kifurushi cha internet cha 3GB. Wanaoshuhudia ni Meneja
Masoko wa Airtel, Prisca Tembo ( kulia) na wafanyakazi wa kitengo cha huduma
kwa wateja wa kampuni ya Apple.
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
· Airtel
Tanzania ni kampuni ya kwanza ya mawasiliano nchini kuingia mkataba wa
ushirikiano na Apple
Dar
es Saalam , Juni 2014 Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel inayoongoza kwa
huduma bora na nafuu leo imetangaza ushirika wake na kampuni kubwa
inayotengeneza simu za mkononi ya Apple.
Airtel
imeweka historia kwa kuwa kampuni ya kwanza ya mawasiiliano nchini Tanzania
kuingia mkataba na Apple kupitia simu ya iPhone S5.
Akiongea
wakati wa uzinduzi wa simu huo jijini Dar es Saalam Meneja Masoko wa Airtel Bi
Prisca Tembo alisema” leo tunazindua simu ya iPhone 5s na kuwapatia
wateja wetu ofa kabambe ya vifurushi vya muda wa maongezi , ujumbe mfupi na
internet. Mteja atakaponunua simu ya iphone S5 atapata kifurushi cha internet
cha 3GB, dakika 1450 za maongezi na SMS 5000 kwa mwezi. Natoa wito kwa watanzania
na wateja wetu kutumbelea maduka yetu na mawakala wetu ili kuweza kujipatia
simu hii.
Kwa
upande wake Mkurugenzi wa Mawasiliano Bi, Beatrice Singano alisema
“Uzinduzi huu leo utato fulsa kwa wateja wetu kupata uzoefu tofauti wa
huduma zetu na kuwawezesha kuendelea kufurahia huduma yetu ya SWITCH on ,
huduma ambayo imezinduliwa ili kuwawezesha wateja wetu kupata internet yenye
kasi zaidi bila kikomo kupitia mtandao wa Airtel”
“Simu
hii ya iPhone 5s itawawezesha wateja wetu pia kupiga picha, kutuma video na
kuwaunganisha na marafiki na familia .
Ili
kupata maelezo zaidi kuhusu ofa hii ya simu ya iPhone 5s tembelea tovuti ya www.apple.com/phone
“aliongeza mmbando
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Airtel officially unveils the iPhone
5s in Tanzania
- Airtel Tanzania gives special offers of the IPhone 5s to its esteemed customers.
- Airtel Tanzania to be the first telecommunication company in Tanzania to sign dealership with Apple
Dar es Salaam, June,
2014 Airtel Tanzania, a telecommunication company with the most affordable
and quality network has today announced a strategic partnership with the giant
mobile phone maker, Apple.
Airtel creates history as it becomes
the first mobile services provider in Tanzania to officially seal a partnership
deal with Apple on iPhone 5s products as it officially unveils the iPhone 5s.
Speaking at the unveiling ceremony
of the modern iPhone 5s smart phone in Dar es Salaam, Airtel Marketing Manager
Prisca Tembo said “we are happy to announce the launch of the iPhone S5 to our
customers and Tanzanian that comes with a special bundle offers of 3GB data,
1,450 Minutes, 5,000 SMS, per month. With this offer we appeal to our customer
to visit all Airtel outlets and our recommended Airtel retail dealers
to purchase the phone at an amazing price.
On his part Airtel Communicatins
Director Beatrice Singano said Today’s launch will give Airtel
customers the best experience that allows them continuously enjoy and adapt to
their needs being on data, voice, pictures and video as they engage and connect
with friends and family. iPhone S5 will also enable our customers to enjoy our
existing data services SWITCH On on the Airtel platform. The Switch On
campaign was recently launched in Tanzania purposely to offer our customers
super-fast Internet services non-stop on their devices.
For more information on
iPhone, please visit: www.apple.com/iphone.
No comments:
Post a Comment