Tangazo

June 27, 2014

TBL Family Day yafana

 Wafanyakzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakiwa kwenye foleni ya kupata msosi wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya TBL,  kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam.
 Wakishindana  katika mchezo wa kuvutana kamba
 Watoto wa familia ya TBL, WAKICHEZA KWENYE BWAWA.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakishindana kucheza mpira wa miguu ikiwa ni moja ya shamrashamra za hafla ya Siku ya Familia ya TBL,  katika ufukwe wa Bahari ya Hindi karibu na Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakishindana kucheza mpira wa miguu ikiwa ni moja ya shamrashamra za hafla ya Siku ya Familia ya TBL,  katika ufukwe wa Bahari ya Hindi karibu na Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam .PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG.
 Watoto wakifurahia kuchezea vibaiskeli

 Wakigongeana glasi zenye vinywaji kwa lengo la kutakiana heri
 Vipimo kwa ajili ya afya havikukosekana
 Wasanii wa kikundi cha sanaa cha Dar Creator wakitumbuiza wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),katika ufukwe wa Bahari ya Hindi karibu na Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam
 Wasanii wa kikundi cha sanaa cha Dar Creator wakitumbuiza wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),katika ufukwe wa Bahari ya Hindi karibu na Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG.
 Du maajabu hayo
 Badhi ya viongozi wa TBL wakistarehe  huku wakibadishana mawazo
 Wakishindana kucheza Water Pole
 Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu akiwa na familia yake siku hiyo

                                                         Sasa ni wakati wa msosi
 Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), David Magese (kulia), akimkabidhi mtoto Said Shaban zawadi baada ya kuwa mmoja wa washindi wa mbio za watoto wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo, katika ufukwe wa Bahari ya Hindi karibu, Kunduchi, Dar es Salaam.Kushoto ni Meneja Mauzo wa TBO Kanda ya Kusini, James Bokela.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG.

 Sasa ni wakati wa kucheza  twist
 Bendi ya Mashujaa iktoa burudani murwa


No comments: