PSPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar
Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, hupata fursa
ya kujionea na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo kujua fursa ya kujipatia
mikopo ya nyumba kama huyu (Kushoto), aliyetembelea banda la PSPF lililoko
kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya
Mwalimu Nyerere, jijini
Afisa
wa PSPF, (Kushoto), akimpatia maelzo ya kina mwanachama huyu aliyefika kwenye
banda hilo.
Mwanachama
wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, (Kushoto), akiuliza maswali huku Afisa Masoko wa
Mfuko huo, Bi. Rahma, akimsikiliza kwa makini, wakati alipotembelea banda la
PSPF, lililo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam,
viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini
Mfuko
wa Pensheni wa PSPF, hutoa huduma kwa wanachama wake kwa njia mbalimbali
ikiwemo ile ya "Kiosk", ambapo bila shaka Mwanachama huyu (Kulia),
alihitaji kujua utendaji kazi wake, na hapa anapatiwa maelezo ya klutosha.
Afisa
nmwandamizi anayeshughulikia mifumo ya taarifa na elektroniki wa Mfuko wa
Pensheni wa PSPF, Mariam Saleh (Kulia), akijadiliana jambo na maafisa wengine
wa Mfuko huo juu ya namna bora ya kutoa huduma kwa wanachama na wananchi
wanaotembelea banda la PSPF kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere maarufu kama
Sabasaba.
No comments:
Post a Comment