Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali
Hassan Mwinyi, akikata utepe kuzindua rasmi Msikiti wa ‘Masjidil Huda’
uliojengwa na mfanyabiashara maarufu nchini, Said Salim Bakhresa katika
eneo la Uwanja wa Chamazi, Mbagala jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti
huyo wa Makampuni ya SSB, Said Salim Bakhresa, ambapo pia uzinduzi huo
uliofanyika Julai 4, 2014, ulihudhuriwa na baadhi ya Viongozi wa Kiserikali
akiwemo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana na wengineo. Picha na OMR
|
No comments:
Post a Comment