Tangazo

July 5, 2014

YALIYOJIRI KWENYE ONYESHO LA MUZIKI WA SAMBA REGGAE NA SARAKASI

Baadhi ya Watoto wakionyesha ujuzi wa kucheza sarakasi kwenye uwanja wa Kasulu, Mburahati kwa Jongo wakati wa onyesho la kuhitimisha warsha ya sarakasi na ngoma za samba regge iliyoandaiwa na kituo cha Baba Watoto kupitia mradi wa Fit For Life.
Ngoma za samba regge kutoka Brasili zikichezwa kwenye uwanja wa Kasulu, Mburahati kwa Jongo
 Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mngereza akitoa hatuba yake kwa wananchi na wapenzi wa muziki na sarakasi waliofika kwenye onyesho hilo
Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ujerumani cha Goethe Institut ambaye pia ni Mkurugenzi wa mradi wa fiti for life, Eleonore Sylla akisema machache wakati wa onyesho la kuhitimisha warsha ya sarakasi na ngoma za samba regge kupitia mradi wa Fit For Life
Mratibu wa kimataifa wa mradi wa Fit for life, Daniela Titze akisema machache wakati wa onyesho la kuhitimisha warsha ya sarakasi na ngoma za samba regge kupitia mradi wa Fit For Life
Meneja Mradi wa Fit fr life, Habiba Issa akitoa maelezo kuhusu mradi huo wakati wa onyesho la kuhitimisha warsha ya sarakasi na ngoma za samba regge kupitia mradi wa Fit For Life
 Kutoka kulia ni Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA, Godfrey Mngereza, Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ujerumani cha Goethe Institut ambaye pia ni Mkurugenzi wa mradi wa fiti for life, Eleonore Sylla, Mratibu wa kimataifa wa mradi wa Fit for life, Daniela Titze na Meneja Mradi wa Fit fr life, Habiba Issa wakifurahia jamb wakati wa onyesho hilo
 
Mkurugenzi wa Kituo cha Baba watoto, Mgunga Mwa Mnyenyelwa akiteta jambo na Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ujerumani cha Goethe Institut, Eleonore Sylla ambaye pia ni Mkurugenzi wa mradi wa fiti for life na Mratibu wa kimataifa wa mradi huo, Daniela Titze

Watoto hao wakionyesha upigaji wa ngoma za samba regge wakati wa kuhitimisha warsha ya muziki wa samba regge na sarakasi inayofanyika kupitia mradi wa fit for life ambayo imewashirikisha watoto walio kwenye mazingira magumu kati ya umri wa miaka 10 hadi 25 imefadhiliwa na umoja wa ulaya (EU) na kusimamiwa na kituo cha Utamaduni cha Ujerumani Goethe-Institut kwa ubia na Ufa-Fabrik ya Ujerumani na Parapanda Theatre.



No comments: