Tangazo

September 30, 2014

UPIGAJI KURA KWA RASIMU INAYOPENDEKEZWA NA BUNGE MAALUM LA KATIBA - BUNGENI MJINI DODOMA

Wahudumu wa Bunge wakibeba masanduku ya kura  ili kuyapeleka kwenye  chaumba cha kuhesabia kura  baada ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kumaliza kazi ya kupiga kura Septemba 30, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Wajumbe wa Bunge  Maalum la Katiba,  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na  Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka  wakiteta bungeni Mjini Dodoma Septemba  30, 2014. Kushoto ni Spika wa Bunge, Anne Makinda (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: