Mkurugenzi wa Kitengo cha Rasilimali watu
Airtel Tanzania, Patric Foya akiongea wakati wa uzinduzi wa wiki
ya Rasimali watu uliofanyika katika Ofisi za makao makuu ya Airtel
ambapo wafanyakazi watapata fulsa ya kupata elimu juu ya sera kuhusu
mafao mbalimbali na haki yao za kimsingi na huduma nyinginezo
zinazotolewa na kusimamiwa na kitengo cha Rasilimali watu, hafla
ya uzinduzi huo imefanyika katika ofisi za Airtel Moroko leo.
|
No comments:
Post a Comment