Tangazo

October 6, 2014

Dk. Faustine Ndugulile afungua kiota kipya cha Fursat Dhahabiyya - Mji Mwema Kigamboni

  Mbunge we jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile (wa pili kulia), akifungua rasmi kiota kipya Mji Mwema Kigamboni kinachoitwa Fursat Dhahabiyya.

 Wadau mbalimbali wakijivinjari ndani ya kiota kipya cha Fursat Dhahabiyya kilichopo Mji Mwema Kigamboni
 Mwonekano wa ndani wa Kiota hicho.

No comments: