Tangazo

June 18, 2012

WANAFUNZI WA DAR ES SALAAM INDEPENDENT SCHOOL 2012 WAONYESHA VIPAJI VYAO

Michael Kapinga  akionyesha umahiri wa kuonyeshakipaji cha  kuimba wimbo wa 'I tried' ulioimbwa na Akon na Bone Thugz, wakati wa hafla ya kujipongeza kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Dar es Salaam Independent ya jijini Dar es Salaam,kwa kuhitimu kidato cha Nne na cha Sita, Hafla hiyo iliandaliwa na Saida Kapinga wa Elements Events.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam Independent iliyo jijini Dar es Salaam,Owen Karonga na Carine Maro ambao waliibuka washindi kwaa kuwanadhifu katika hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya kidaoto cha Nne na cha sita iliyofanyika katika Ukumbi wa Litre Theatle Oysterbay. Kulia ni Mkurugenzi wa Elements Events Saida Kapinga ambaye ndiye aliyeandaa hafla hiyo. Kushoto ni Mwalimu wa Wanafunzi hao.

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Dar es Salaam Independent ya jijini Dar es Salaam, wakionyesha vipaji vyao vya kusakata muziki wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya kidaoto cha Nne na Sita iliyoandaliwa na Kampuni ya Elements Events katika Ukumbi wa Litre Theatle.
 

No comments: