Tangazo

June 18, 2012

Extra Bongo 'WAZEE WA KIZIGO' wafanya makamuzi ya kufuru ndani ya Meeda Bar - Sinza

Ally Choki akiwaburudisha washabiki na wapenzi wa Extra Bongo ndani ya Meeda Jumamosi usiku.

Choki akicheza show na wanenguaji wake wa Extra bongo ndani ya Meeda Sinza.

Rapa maarufu wa Extra Bongo, Kaba Tano akirap ndani ya Meeda Sinza.

Banza Stone Mwana wa Masanja - AKA Jenerale akiimba nyimbo yake ndani ya Meeda Sinza.

No comments: