Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (mbele mwenye miwani) akiongoza
umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofika kumpokea
katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera Juni 20.2015 na kufanya
matembezi kutoka uwanjani hapo hadi katika Ofisi ya CCM Mkoa, alipokwenda kwa
ajili ya kutafuta wadhamini wa kumdhamini ili aweze kuwania urais katika
uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini
zaidi ya 500 mkoani humo. Kushoto kwake Ini Katibu mstaafu wa CCM mkoa Kagera,
Faustine Kamaleki.
|
No comments:
Post a Comment