Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (mwenye miwani), akilakiwa na umati
wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya
viwanja vya ofisi ya CCM ya Morogoro Mjini Juni 24.2015, wakati akitafuta
wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama
hicho, ambapo wanaCCM zaidi ya 950 walimdhamini. Picha zote na John Badi
|
No comments:
Post a Comment