Tangazo

September 21, 2015

Diamond motors yaboresha usafiri wa masafa kwa matumizi ya Fuso




Wiki ya nenda kwa usalama ni muhimu katika jitihada za kuboresha masuala ya usalama barabarani ikiwa ni jambo lililo na kipaumbele katika ajenda za kitaifa nchini Tanzania. 

Wiki hii inatoa misingi ya kufanya kazi kuelekea katika kufikia maono na matarajio ya mazingira salama na kuboresha usalama barabarani. 

Hivi karibuni mwenyekiti wa tume ya usalama barabarani bwana Elifadhili Mgonja wakati akiongea na waandishi wa habari katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama jijini Dar es salaam yaliyo fanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja kwa mwaka 2015/16 alisema kuwa ajali za barabarani zimekuwa ni chanzo kikuu cha kupoteza maisha na mali nchini Tanzania.

  Ajali hizi zimekuwa chanzo kikubwa cha vifo na ulemavu ambao unasababisha kudumaa kwa maendeleo ya watu kiuchumi na kuathili uchumi wa taifa kwa ujumla.

Upigaji vita ajali za barabarani nchini limekuwa ni suala linalopewa kipaumbele kwani ajali mbaya zimekuwa zikiendelea kutokea. 

Pamoja na sababu nyingine, miundombinu mibovu, uchovu kwa madereva, uchakavu wa magari kama kukosa breki kutokana na kutokuwa na matengenezo imekuwa ni chanzo kikuu cha ajali mbaya nchini Tanzania.


Kwa nyakati tofauti, akiongea na waandishi wa habari hivi karibuni katika ofisi za kampuni ya Diamond Motors Ltd (Hansa) iliyopo katika barabara ya Nyerere, meneja mkuu (masoko) wa kampuni hiyo Ndugu Laurian Martin aliwaasa watanzania kuweka kipaumbele katika “usalama kwanza”.  

 Aliongeza kwa kusema kuwa utumiaji wa magari yaliyoboreshwa katika teknolojia ambayo kwa sasa yanapatikana katika soko la Tanzania kama vile malori ya Fuso FZ an Fuso FJ  yanatoa nafasi kubwa ya kupunguza ajali za barabarani.  Martin aliongeza kusema kuwa “Malori ya Fuso FZ yanauwezo mkubwa wa breki zenye ukubwa, upana na unene unaolingana katika magurudumu ya mbele na ya nyuma, pia ina kifaa cha kujazia upepo pamoja na matanki ya kuhifadhia yanayokuhakikishia usalama wa hali ya juu katika miundombinu ya Tanzania na masafa marefu. Malori haya pia yana vifaa maalumu sehemu ya mbele kwaajili ya kuzuia gari isianguke na kubilingika  kirahisi ikiwa ni pamoja na mfumo wa matairi mpana unaoongeza ustahimilivu.  Hivi ni vipengere muhimu sana hasa katika barabara mbovu na uendeshaji wa hali iliyokithili. 

Bwana Martin aliendelea kwa kusema kuwa uchovu kwa madereva pia unachangia katika ajali za barabarani hasa katika uendeshaji wa masafa marefu.  Malori ya Fuso FZ kutoka Diamond Motors yana kibini iliyo ninginizwa vizuri katika mihimili yake ambayo inasaidia kupunguza mtikisiko hasa katika matuta ya barabarani, haipati joto wala makerele kutoka kwenye injini, pia ina kiti ambacho kina rekebishika pamoja na usukani unaoweza kurekebishika.  Vipengele hivi vinampatia dereva unafuu wa kuendesha ikiwa ni pamoja na kupunguza uwezekano wa kusababisha ajali.

Usalama barabarani ni muhimu sana kwa watanzania na hii inadhihirishwa kwa uwepo wa wiki hii ya nenda kwa usalama nchini Tanzania ikiwa ni nia thabiti ya kupunguza ajali za barabarani. Muunganika wa sababu mbali mbali za kiusalama ukizingatiwa inaweza kupunguza ajali za barabarani. 

 Usimamizi wa usalama barabarani  kutoka kwa washikadau wa sekta hii, mafunzo muafaka kwa madereva ikiwa ni pamoja na utumiaji wa magari yaliyoboreshwa kwa ubora kama vile Fuso FZ na Fuso FJ ambayo hayahitaji matengenezo ya mara kwa mara na yametengenezwa kwa teknolojia iliyoboreshwa katika kumpunguzia dereva uchovu na ubora wa kuhimili miundombinu ya Tanzania inaweza kuchangia katika uboreshaj wa usalama barabarani.

FZ TRACTOR 6x4

Kuhusu Diamond Motors Limited (Hansa Group)
Diamond Motors Limited imekuwa wasambazaji pekee wa malori ya Fuso nchini kwa zaidi ya miaka 30. DML imeweka rekodi katika secta ya magari, kwa kufanya kazi kwa ushirikaino na makampuni ya magari yenye ubora wa hali ya juu zaidi duniani. Ushirika wao imara na makampuni yanayoongoza duniani kama vile magari ya abiria ya Mitsubishi kutoka Japani, matairi ya Yokohama kutoka Japani, MTU na ZF kutoka Ujerumani yameleta umaarufu na kutoa uwanja mpana wa wateja kutoka sehemu mbali mbali za ukanda huu. 
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Diamond Motors rolls out the new Fuso FZ in ‘Ndiyo Fuso ni Faida’ campaign

Transport sector is an important component of the economy and a common tool used for development because of its intensive use of infrastructures. This is even more so in Tanzania’s economy where economic opportunities are increasingly related to the mobility of people, goods and service. It is with this factors in mind that Diamond Motors (Hansa Group) has introduced a New Fuso heavy-duty truck range of Fuso FZ which offers more benefits in terms of efficiency, operation costs and suitable for the nature of Tanzania’s infrastructures.

Diamond Motors Limited has been playing a major role in the transportation sector since 1980 in Tanzania by the distribution of Mitsubishi Fuso trucks and Bus Corporation. A new range of Fuso FJ and Fuso FZ encompasses exceptional functionality, durability, and comfort, giving customers an entirely new breed of trucking technology.  Fuso heavy- duty trucks delivers lower operating costs, making them the best choice for smart businesses. Trucks ideal for long distance and heavy loads with high torque engines optimized for power and maintain being economy to provide profitable transportation facility.

The ongoing campaign of “Ndiyo Fuso ni Faida” in various regions in Tanzania aims at bringing awareness to stakeholders of different sectors of the economy on the benefits by the use of new Fuso truck which are of latest technology, in terms of capability, reliability, economy and long distance travelling as well as characteristics from the in-built specifications which are beneficial to the user. The 170kW/810Nm engine is more fuel efficient, for better mileage and lower costs and other long-haul applications.

Diamond Motors Limited has been servicing this sector through Mitsubishi Canters and Light trucks over the past few decades. Backed with after sales and spares support, the product portfolio is amply suited and tailored to meet the requirement and demands for this sector, and become the total transport solution provider in Tanzania.

      FZ

.With Fuso Value Parts, you are assured of authentic parts of the highest precision manufacturing guaranteed by Mitsubishi Fuso, without having to pay a premium. For excellent value at approachable prices, Diamond Motors Limited has made the choice easy. The availability of the required genuine parts determines the downtime of your vehicle. Turn to your Mitsubishi Fuso dealer for quick supply of the genuine parts needed to keep your truck running, reliable consultation and the quality of the service network determine how well and how long your truck performs while a trust to our trained technicians ensures high quality.

ABOUT DIAMOND MOTORS LIMITED (Hansa Group)
Diamond Motors Limited has been the exclusive distributor of Fuso trucks in the country for over 30 years. DML has set the bar in the automotive industry, working with some of the world’s best vehicle brands. Its strong partnerships with global leaders such as Mitsubishi passenger vehicles from Japan, Yokohama tires from Japan, MTU and ZF from Germany have proven to be popular, with a diverse range of customers from all across the island.

No comments: