Tangazo

September 13, 2011

AIRTEL yajikita katika kijiji cha Kanyezi wilayani Sumbawanga Vijijini

Mwenyekiti wa kijiji cha Kanyezi Ndugu Deodatus Chatindwa akikata utepe wakati wa uzinduzi wa huduma za mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel katika kijiji cha Kanyezi wilayani Sumbawanga vijijini mkoani Rukwa hivi karibuni. Waliomzunguka ni wakazi wa kijiji hicho wakishuhudia uzinduzi ambapo Airtel ndio mtandao pekee unaopatikana kijijini Kanyezi.

No comments: