![]() |
| Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa akizungumza katika mkutano huo. |
![]() |
| Vijana waliohamasika wakirejesha kadi za CHADEMA kwa Mkapa baada ya kuhamasika kwenye mkutano huo. |
![]() |
| Msanii Ummy Wenslaus 'Dokii' akifanya vimbwanga vyake jukwaani wakati wa mkutano huo wa uzinduzi wa kampeni za CCM. |
![]() |
| Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, mbunge wa Bunda, Steven Wasira akizungumza katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM mkoani Tabora. |
![]() |
| Vijana wakiwa na ujumbe kukataa fujo Igunga. |
![]() |
| Orijino Komedi wakishambulia kujwaa wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM kwenye viwanja vya kumbukumbu ya Sokoine mjini Igunga mkoani Tabora juzi. |
![]() |
| Katibu MKuu wa CCM, Wilson Mukama akihutubia katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM kwenye viwanja vya kumbukumbu ya Sokoine mjini Igunga. |
![]() |
Mkapa akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Igunga Dk. Dalaly Peter Kafumu kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM kwenye viwanja vya kumbukumbu ya Sokoine mjini Igunga mkoani Tabora. |
![]() |
| Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye viwanja vya Kumbukumbu ya Sokoine mjini Igunga wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM.(PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO) |











No comments:
Post a Comment