Tangazo

September 13, 2011

CHADEMA YAKABIDHI RAMBIRAMBI ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) akipokea mchango wa Fedha shilingi milioni tano kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, kwa ajili ya Waathirika wa ajali ya Meli iliotokea usiku wa tarehe 10-9-2011 katika bahari ya Nungwi.

No comments: