Tangazo

September 12, 2011

Haya wasafiri mkifika Mikese Morogoro msiache kununua Maboga

Mfanyabiashara wa maboga katika Mji mdogo wa Mikese mkoani Morogoro akizungumza na wenzake wakati akisubiri wateja wa maboga, vitunguu , viazi na nyanya ambapo wateja wake wakuu ni  watumiaji wa barabara kuu ya Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya www.jumamtanda.blogspot.com 

No comments: