Tangazo

September 2, 2011

Sony Ericsson yazindua Simu Mpya

Moja kati ya simu mpya za Sony Ericsson zilizozinduliwa.
Wakuu wa Masoko Afrika wa Kampuni ya Sony Ericsson, Patricia Wand (kulia) na Jorgen Berg (wa pili kushoto) pamoja na Upendo Richard kutoka Kitengo cha Mauzo Vodacom Tanzania (wa pili kulia) na Sandhya G (kushoto) wakionyesha kwa pamoja simu mpya ya Sony Ericsson iliyozinduliwa leo katika Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Masoko Afrika Kampuni ya Sony Ericsson, Patricia Wand akizungumza wakati wa uzinduzi huo.

No comments: