Tangazo

September 12, 2011

Tujikumbushe kidogo Enzi za Mchinga Sound

Waimbaji nyota wa iliyokuwa Bendi ya Mchinga Sound 'Wanakipeperushe Kipepeo' (kutoka kushoto), Muumin Mwinjuma 'Kocha wa Dunia', Rogart Hega 'Carterpila' na Rosh Mselela wakiimba kwa pamoja wakati bendi hiyo ilipotumbuiza katika ukumbi wa Vatican Sinza jijini Dar es Salaam mnamo Mwezi Aprili 2009. Bendi hiyo kwa sasa haipo tena katika Ulimwengu wa Muziki wa Dansi.
Aliyekuwa Kiongozi wa Mchinga na mkung'uta gitaa la solo, Adolf Mbinga.
Enzi hizo drums zilikuwa zikipigwa na Michael Liloko.
Wakati kinanda alikuwa akikigandamiza, Deo Mwanambilimbi 'Mzee wa Goba.
Kwani safu ya wanenguaji wa kike ilikuwa ikiongozwa na Mwanadada, Amina 'Rusha Roho' (kulia) na Queen Vero (kushoto).
Mchinga Sound ilikuwa na wakereketwa kama huyu.......PICHA ZOTE/MAKTABA YA DAILY MITIKASI BLOG

No comments: