Tangazo

December 14, 2011

Airtel yapokea Cheti cha shukrani kwa kudhamini Semina ya Umaskini Fullstop

Afisa Masoko wa Global Publisher, Benjamini Mwanambuu (kushoto) akimkabidhi cheti cha kushiriki na kudhamini Semina ya Umaskini Fullstop, Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde,  cheti hicho cha shukurani kimetolewa kwa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel  kwa kudhamini semina ya umaskini fullstop na burudani ya Muziki iliyofanyika Mkoani Arusha mwishoni mwa mwenzi Novemba na kuhudhuriwa  na wakazi wengi wa jijini hapo.

No comments: