Tangazo

December 16, 2011

Airtel yapata Tuzo ya Superbrands

Makamu wa Rais, Dk. Ghaib Bilal akimkabidhi Tuzo ya Superbrands kwa Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel Tanzania, Bw. Cheikh Sarr, wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa Makampuni yaliyofanya vizuri  kwa mwaka 2011, iliyofanyika Desemba 15 jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa  Mradi wa Superbrands Africa Mashariki, Bw. Jawad Jaffer .

No comments: