Tangazo

February 16, 2012

Mabondia watakaoliwakilisha Taifa katika Mashindano ya Kimataifa watahiniwa

Bondia Fabiani Gaudence (kushoto) akionyesha ufundi wa kutupa masumbwi dhidi ya Iddi Pialali  wakati wa mashindano ya kuchagua mabondia watakaowakirisha taifa katika mashindano ya Kimataifa yanayotaraji kufanyika hivi karibuni.  Bondia Gaudence alishinda kwa pointi. Picha kwa hisani ya superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Peter Stanley (kushoto) akionyeshana ufundi wa kutupa masumbwi na Doto Shoka wakati wa mashindano ya kuchagua mabondia watakaowakirisha taifa katika mashindano ya Kimataifa yanayotaraji kufanyika hivi karibuni.  Stanley alishinda kwa K.O ya raundi ya pili.

No comments: