Tangazo

March 20, 2012

Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) kufanya Ziara Tanzania Machi 26


Meneja Mkuu wa Heineken Afrika Mashariki, Koen Morshuis akitangaza ujio wa Ziara ya Kombe la Mabingwa la Ulaya (UEFA), hapa nchini katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Machi 18.12. Kombe hilo linatarajia kuwepo jijini Dar Machi 26 na 27 mwaka huu na litakuwa katika Hoteli ya Hyatt Regency (Zamani Kilimanjaro Hotel). Heineken International ambao ndio wadhamini wakuu wa Ligi hiyo, ndio wanaolileta kimbe hilo.PICHA/JOHN BADI wa Daily Mitikasi Blog


Wanahabari wakifuatilia kwa makini mkutano huo.

Warembo wa Heineken wakipozi kwa picha.

Msichana Azar Charles akionyesha minjonjo.

Juma Nassoro (kushoto) na msichana Azar Charles wakionyesha umahiri wa kulimiliki kabumbu wakati wa Kampuni ya Heineken International ilipotangaza ujio wa Ziara ya Kombe la Mabingwa la Ulaya (UEFA), hapa nchini katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Machi 18.12.

No comments: