Tangazo

May 18, 2012

Mkutano wa Uchaguzi Mkuu Tawi la CCM Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akifungua Mkutano wa Uchaguzi Mkuu, Tawi la CCM, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam, leo kwenye ukumbi wa Vijana, Kinondoni Dar es Salaam. Wengine kushoto ni Abilahi Mihewa, Katibu wa CCM Dar es Salaam, Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Tawi la Ofisi Ndogo, Lumumba, Venance Mkude na Katibu wa NEC, Oganaizesheni Asha Abdallah Juma.

Wanchama wa tawi hilo wakiwa kwenye mkutano huo wa uchaguzi mkuu.

Katibu wa Tawi anayemaliza muda wake, Scolastica Salim (kulia) akizungumza.

Nape akipiga kura yake kuchagua Mwenyekiti wa Tawi hilo.

No comments: