Tangazo

May 15, 2012

Rais Kikwete afungua Semina ya APRM kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa mjini Dodoma leo

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua semina ya Africa Peer Review Mechanism(APRM) kwa wajumbe wa Halmashauri kuu ya  CCM taifa katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo asubuhi.

Baadhi ya Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa wakihudhuria semina maalumu ya APRM iliyofanyika katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo asubuhi(Picha na Freddy Maro)

No comments: