Tangazo

May 21, 2012

Rais wa Zanzibar, Dk. Shein akutana na Uongozi wa Wizara ya Kilimo na Maliasili

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo na Maliasili,katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Wizara hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar Mei 21.12. Kushoto ni Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad.  [ Picha  na Ramadhan Othman wa Ikulu Zanzibar]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo na Maliasili,katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Wizara hiyo.

No comments: