Tangazo

May 19, 2012

VIRGINIA MOKIRI AIBUKA MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS HIGHER LEARNING DODOMA 2012

Washiriki walioingia katika Kumi Bora.

 Jaji Mkuu wa Shindano la kumsaka Mlimbwende wa Redds Elimu ya Juu Kanda ya Dodoma akisoma Majina ya Washiriki waliobahatika Kuingia Hatua ya Tano Bora.

Warembo waliofanikiwa kuingia katika hatua ya Tano Bora wakiwa katika Picha ya Pamoja.

Msanii wa Kizazi Kipya Barnaba Akitoa Burudani katika shindano La Kumsaka Mlimbwende wa Redds Elimu ya Juu Kanda ya Dodoma 2012 katika Ukumbi wa Kilimani Usiku wa Kuamkia.

Redds Miss Higher learning 2011 Jackline Kinabo (aliyekaa) ambae amemaliza muda wake akiwa tayari kumvalisha taji Mshindi wa Miss Redds Higher Learning 2012 katika ukumbi wa kilimani usiku wa kuamkia Ijumaa Mei 18.2012.

Mshindi wa Taji la Redds Miss Higher Learning Dodoma Mwaka 2012 Virginia Mokili (Katikati) akiwa katika Picha ya Pamoja na Mshindi wa Pili wa Taji hilo Jenipher Mafuru (Kulia) na Mshindi wa tatu Lilian Maleo (Kushoto) mara baada ya Shindano Kumalizika.

Afisa Utamaduni Wa Manispaa ya  Dodoma Mh Kishosha akimkabidhi Zawadi Mshindi wa Kwanza wa Taji la Redds Miss Higher Learning Dodoma 2012 Virginia Mokiri Mara Baada ya Kuibuka Mshindi.Picha kwa Hisani ya Lukaza Blog

No comments: